Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DADA WA DIAMOND: “Haiwezekani, Diamond Hajaachana na Zari” (+video)

3420 Sssjsssj 660x400

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 16, 2018 Dada yake Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz, Esma Platnum  amezungumza anachokifahamu yeye kuhusu uhusiano wa Diamond na Zari na kusema kuwa hawajaachana na kuhusu Post ya Zari yeye hakumuuliza Diamond wala Zari kwani anaona ni mambo ya Kifamilia na hawezi kuingilia.

Pamoja na hilo pia amezungumzia suala la yeye kuonekana mnafiki kwa kuwa anakaa na wanawake waliowahi kuwa na uhusiano na Diamond huku akienda bado anaukaribu na mzazi mwenza wa Diamond ambaye ni Zari the Boss Lady.

“Mimi na kutana nao wote na naongea nao wote kama marafiki, kwanini niwachukie sina ugomvi nao kwahiyo kuongea na watu isiwe ndo sababu ya watu kusema mimi ni mnafiki, ukaribu wangu na Wema ni kwasababu tunajuana toka zamani na Hamisa hivyo hivyo” -Esma

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY

EXCLUSIVE: Abdukiba kafunguka “Tunda alikuwa mpenzi wangu, nimemmiss”



 

Chanzo: millardayo.com