Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

D Voice ndie aliesainiwa WCB?

D Voice Msanii wa Singeli, D Voice

Tue, 4 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi za msanii mpya wa label ya WCB baada ya C.E.O Diamond Platnumz kutangaza kusaini msanii February 2, 2023 zilidondoka kwa hit maker wa Commando Mavokali mpaka pale alipoamua kukanusha kuwa sio yeye aliyesainiwa Wasafi.

Tetesi za msanii mpya wa label ya WCB baada ya C.E.O Diamond Platnumz kutangaza kusaini msanii February 2, 2023 zilidondoka kwa hit maker wa Commando Mavokali mpaka pale alipoamua kukanusha kuwa sio yeye aliyesainiwa Wasafi. Hivi karibu kupitia Twitter ziliibuka tena story kuhusu msanii mpya wa usafini na tweet za watu wengi zikimtaja Temeke boy D Voice kuwa amemwaga wino WCB, uku wengi wakidai ni ukimya wake kwenye muziki na kwenye instagram page yake hajapost chochote toka January 31, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live