Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

D-Voice atinga BASATA

Cssz Dvoice D-Voice atinga BASATA

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Dkt Kedmon Mapana leo amekutana na Msanii kutoka katika lebo ya muziki nchini WCB Wasafi, D-Voice kwa lengo la majadiliano yenye kujenga tasnia ya Muziki.

Aidha, katika majadiliano hayo Katibu Mtendaji alimpitisha katika kitabu cha Mwongozo wa Maadili katika kazi za Sanaa.

Majadiliano haya yamefanyika leo 29 Januari 2024 katika ofisi za Katibu Mtendaji BASATA zilizopo Maeneo ya Kivukoni jijini Dar es salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live