Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

D Banj asifu harakati zao kukuza muziki Nigeria

FVOZLTRWAAMRIeh Mwanamuziki D Banj

Mon, 30 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkongwe kutoka Nigeria D'Banji ameweka wazi kuwa zamani safari ya muziki haikuwa rahisi hasa kwa upande wa kupata kolabo za 'Internation' ilikuwa ni kama muujiza huku akiutaja wimbo wake wa 'Oliver Twist kama wimbo uliofungua njia kwa wasanii wa Africa.

Kwenye mahojiano yake na kituo cha redio nchini Zimbabwe @starfm_zw D'Banj alisema anafikiri walianzisha msingi wa kitu ambacho wasanii wa sasahivi wanakifanya kwasababu inaitwa 'Matumaini Yanayoonekana' anasema wakati yeye anakua kimuziki ulikuwa unaweza kusikia kolabo fulani ila huwezi kuiona.

Kwa kiazazi cha sasa walichokipigania inawezekana kupata kolabo 'Intenational' ndio maana unaweza kumuona #Wizkid na #Drake na yeye anaona ni mmoja kati ya waliokitengeneza hiki kitu kwa neema za mungu amekuwa ni mmoja kati ya watu walioufikisha hapa muziki wa Africa. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live