Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coy Mzungu akerwa na kauli ya Wakazi

Coy Na Wakazi Coy Mzungu akerwa na kauli ya Wakazi

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji Coy Mzungu ameonesha kukerwa na kauli ya mwanamuziki wa Hip-hop Wakazi iliyodai kuwa wachekeshaji wa Bongo hawajui kuchekesha.

Kutokana na kauli hiyo Coy amejibu kwa kusema kuwa muziki ni mgumu sana, hivyo yupo tayari kumpatia Wakazi jukwaa aende kushekesha yeye.

Kupitia Instagram yake Coy ameandika, "ila muziki mgumu sanaa! Kaka Wakazi stage ipo njoo nikupe nafasi utaua sanaa naona unachekesha sanaaa! Sijacheka hivi tangu mwaka uanze.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live