Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Country Boy kuja na "Yule boi part 2"

Country Boy Wizzy Country Boy amedokeza ujio wa Albamu yake mpya

Wed, 4 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Country boy (countrywizzy) ametupasha kuwa yupo studio anatayarisha madude kwa ajili ya ujio wa Album ya “Yule Boy” Part 2.

Rapa Country boy (countrywizzy) ametupasha kuwa yupo studio anatayarisha madude kwa ajili ya ujio wa Album ya “Yule Boy” Part 2. Huu unakuwa ni muendelezo wa ile ya kwanza ambayo iliachiwa November 15, 2019 ikiwa na Jumla ya mikwaju 30.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live