Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coi leray: Kizazi chetu hakijui kupika...

Coi Leray Coi leray: Kizazi chetu hakijui kupika...

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa na muimbaji wa Marekani Coi leray ameibuka kusema kizazi chake hakijui jinsi gani ya kupika chakula.

Msanii huyo mwenye miaka 26 amefunguka hilo kupitia page yake ya mtandao wa X baada ya kuandika

“Sielewi kwanini kizazi chetu hakijui jinsi gani ya kupika, sitaki mpikie kwenye Air Fryer, Vuta sufuria hizo nzuri zilizokwaruzwa, washa r&B ya miaka ya 2000 na tuwachangamshe watu”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live