Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coco yamrejesha Ray C upyaa!

Ray C Mns Coco yamrejesha Ray C upyaa!

Fri, 30 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

She is Back! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamuziki Rehema Chalamila 'Ray C' ama Kiuno Bila Mfupa amekata kiu ya mashabiki zake ambao walikuwa wanasubiri aachie wimbo mpya baada ya kupita muda mrefu.

Ray C amechia ngoma yake mpya ya 'Coco' kwa mara ya kwanza ikiwa miaka minne kupitia akaunti yake ya Youtube kutopandisha Audio/Video yoyote.

Ngoma ya mwisho ku-uploadiwa na Ray C ilikuwa 'Umizima' ambayo aliipandisha Feb 5, 2019.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live