Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Chuma kizito kilipenya kwenye ubongo wake, lakini bado aliishi

Phineas P. Gage.jpeg Phineas P. Gage.

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anaitwa Phineas P. Gage, alizaliwa mwaka 1823 nchini Marekani, alikuwa fundi wa reli na kiongozi wa timu ya watengenezaji wa reli.

Mwaka 1848 akiwa kwenye Treni kulitokea ajali mbaya sana, chuma kizito kilipenya kwenye sehemu kubwa ya kichwa chake, hakuna ambaye aliamini kwamba Phineas P. Gage anaweza kubaki mzima lakini kwa uwezo wa Mungu hakufariki kutokana na ajali hiyo.

Baada ya ajali tabia yake ilibadilika hakuwa kama yule wa mwanzo, kile chuma kiliharibu sehemu kubwa ya ubongo wake hivyo alikuwa mkorofi sana, hapokei ushauri, hasira za karibu, nakadhalika.

Mbali na ukubwa wa ajali hiyo lakini aliishi miaka 12, kwa mapenzi ya Mungu Phineas P. Gage alifariki mwaka 1860 kwa ugonjwa wa kifafa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live