Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chuchu Hans: Jeraha imenipa wakati mgumu kumpata Ray

RAY CHUCHU 12 Chuchu Hans na Ray

Tue, 28 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa filamu na Mtayarishaji, Chuchu Hans ambaye kwa sasa anatamba na tamthilia yake mpya Jeraha, amefunguka jinsi alivyopata wakati mgumu kumpa baba mtoto wake ili aweze kushiriki kwenye project hiyo.

Chuchu amedai kwa sasa wao wanalea mtoto na zinapotokea kazi basi hushirikiana kwa pamoja kwa kuwa wote wanafanya kazi za aina moja.

Chuchu ameyasema hayo Jumatatu hii wakati akifuturisha watoto pamoja na wadau mbalimbali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live