Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chrisean Rock ataka idadi ya watoto 12

CHRISEAN ROCK BABY Chrisean Rock ataka idadi ya watoto 12

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Marekani Chrisean Rock amesema anatamani kuwa na jumla ya watoto 12 katika mipango yake ya uzazi.

Msanii huyo asiyeishiwa vituko anasema kwa sasa ana mtoto mmoja, mwingine yupo njiani kuja na itabaki idadi ya watoto 10 kuwapata.

Ikumbukwe mtoto wake huyo mmoja alimpata mwezi Septemba akiwa Live Leba kupitia mtandao wa Instagram ili kuonesha tukio hilo la kujifungua kwake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live