Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris aahidi surprise kwenye albamu yake mpya

Chris Brown Album 11.jpeg Chris aahidi surprise kwenye albamu yake mpya

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Chris Brown amedai kuwa amewaandalia mashabiki wake Surprise za kutosha katika Album yake mpya ya 11:11 inayotarajiwa kutoka Novemba 11 mwaka huu.

Ameyasema hayo kupita InstaStory yake kwa kueleza kuwa kwenye album ya 11:11 kutakuwa na surprise za kutosha na vibe nyingi na za tofauti tofauti ambazo amewaandalia mashabiki zake.

Ikumbukwe kuwa mwanamuziki huyo alishawahi kutoa Album zaidi ya 20 zikiwemo ‘Royalty’, ‘Breezy’, ‘Before the Party’ na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live