Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Rock, Amber Rose wazua gumzo, Je ni wapenzi?

Chriss Rock X Amber Rose Chris Rock, Amber Rose wazua gumzo, Je ni wapenzi?

Fri, 29 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji Chris Rock na mwanamitindo maarufu Amber Rose wamezua tetesi kila kona ya marekani kuwa wanatoka kimapenzi baada kufumwa wakisherehekea Krismasi pamoja.

Siku ya Jumatatu walionekana wakifurahia maisha pamoja wakiwa kwenye matembezi Jijini New York.

Mpaka sasa imeshindwa kujulikana ikiwa wawili hao ni wapenzi au ni marafiki tu…..Wakati utaongea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live