Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Brown noma! Ana ngoma 15,000 bado hazijatoka

Chris Brown Noma! Ana Ngoma 15,000 Bado Hazijatoka Chris Brown noma! Ana ngoma 15,000 bado hazijatoka

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji kutoka nchini Marekani Chris Brown amefunguka kupitia mahojiano yake na moja ya podcast nchini humo kuwa mpaka sasa zipo zaidi ya nyimbo 15,000 ambazo bado hajaziachia.

Mwimbaji kutoka nchini Marekani Chris Brown amefunguka kupitia mahojiano yake na moja ya podcast nchini humo kuwa mpaka sasa zipo zaidi ya nyimbo 15,000 ambazo bado hajaziachia. Breezy ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kuhusiana na nyimbo zake zipi tatu anazipenda zaidi? ndipo akashindwa kuzitaja moja kwa moja na akaeleza kuwa ana zaidi ya ngoma 15,000 na kati ya hizo kwenye simu yake anazo 800 na muda wowote akitaka kutoa wimbo anachagua tu, hivyo basi tutegemee kumsikia sana karne na karne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live