Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Brown amtolea povu Shabiki

CHRISBROWNKIDS4 Chris Brown amtolea povu Shabiki

Thu, 11 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Chris Brown amjia juu shabiki aliyesema kuwa hataki mwanaume aliyezaa na mwanamke zaidi ya mmoja.

Hii inakuja baada ya Brown ku-share picha kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na watoto wake watatu, ndipo shabiki akaamua kukomenti kwa kueleza kuwa hapendi mwanaume aliyezaa na wanawake wengi.

Aidha Brown alimjibu kwa kumuuliza swali “Nani kasema nilikuwa naajiri kina mama?, unasema hivyo kama vile ulikuwa na nafasi”

Watoto wote watatu wa Chris Brown amezaa na mama tofauti ambao ni Royalty Brown (aliyezaliwa na Nia Guzman-Amey), Aeko Catori Brown (Ammika Harris) , Lovely Symphani Brown mama yake akiwa ni Diamond Brown.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live