Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Brown ampa shavu Ayra Starr

Chris Brown Ampa Shavu Ayra Starr Chris Brown ampa shavu Ayra Starr

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Ayra Starr amepewa shavu na Chris Brown kufanya naye ziara yake aliyoipa jina la 11:11 ikiwa imebeba jina la album yake.

Mwanamuziki Ayra Starr amepewa shavu na Chris Brown kufanya naye ziara yake aliyoipa jina la 11:11 ikiwa imebeba jina la album yake. Chris Brown atatumbuiza na Ayra Star kwenye miji mbalimbali nchini Marekani. Tour hiyo inatarajiwa Kuanza June 5,2024 na kumalizika August 6, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live