Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Brown ampa maua yake Tina Davis

Tina Davis Tina Davis

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown amerudisha fadhila kwa mmiliki wa kampuni ya kurekodi na usambazaji muziki ya Empire, Tina Davis kwa kumpa maua yake mwanamama huyo akimtaja kuwa ni moja ya mtu aliyechangia kujulikana zaidi.

Brown ameyasema hayo wakati alipokuwa kwenye mahojiano yake na podicast ya ‘R&B Money’ ambapo alikumbuka mchango wake kwake huku akimtaja Tina kuwa ni mtu powa sana.

#TinaDavis ni Rais wa Empire kampuni huru ya kurekodi, usambazaji na uchapishaji pia aliwahi kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza idara ya A&R katika Def Jam, hapo awali alianza kazi kama makeup artist akitumia fani hiyo kwa wasanii wakubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live