Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Brown aifanyia vitna shoo ya Quavo

Chris Brown Bab312b318414520b79932e3bdc6e564 Chris Brown aifanyia vitna shoo ya Quavo

Mon, 29 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Chris Brown amedaiwa kuwa alinunua viti vyote vya mbele kwenye moja ya show ya hasimu wake Quavo ili msanii huyo aonekane hajajaza ukimbi.

Kupitia video zinazosambaa mitandaoni zikionyesha viti vingi vya mbele havina watu katika moja ya show za Quavo zimesababisha mashabiki kuamini huenda ni kweli Brown ndiyo amefanya kitendo hicho kilicho sababisha mashabiki wengi wakose tiketi za kuingia katika ukumbi huo.

Wiki kadhaa zilizopita wawili hao wamekuwa katika muendelezo wa bifu lao ambapo kila mmoja alikuwa akitoa ngoma kwa ajili ya ‘kumchana’ mwenzake.

Bifu la Quavo na Brown lilianza mwaka 2017 baada ya Quavo kudaiwa kutoka kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Brown aitwaye Karrueche Tan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live