Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Brown a-post video ya Misso Misondo

ZXC Chris B Chris Brown a-post video ya Misso Misondo

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Marekani, Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown ame-post video ya Dancers wa Misso Misondo kwenye Insta Story yake.

Dancers wa Misso Misondo ambao wote ni raia wa Tanzania wamejizolea umaarufu mkubwa Duniani kutokana na Mavazi pamoja na kucheza Style zao za kipekee.

Unadhani kitu gani kimemvutia zaidi kutoka kwenye kundi hili? Je unatamani Chris Brown afanye kazi na kundi hili?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live