Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Brown: Msisubiri nife.. hakuna mwingine kama mimi

Chris Brown Album 11.jpeg Chris Brown.

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Chris Brown amewakumbusha watu kumpa maua yake mapema kwani hatotokea Chris Brown mwengine

Kupitia Instastory yake Chris ameandika "Hatokuja kutokea Chris Brown mwengine, msisubiri mpaka nife kulitambua hilo"

Ujumbe huu wa Chris ni muendelezo wa lawama kutoka kwake kwenda kwa wadau wa sanaa Marekani ambapo Chris anadai kutopewa heshima anayostahili lakini pia amekuwa akifanyiwa figisu mbalimbali

Chanzo: www.tanzaniaweb.live