Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Choppa: Hakuna wa kuishusha Konde Gang

Maxresdefault    Choppa Harmonize Choppa na Harmonize

Sun, 23 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia Insta story ya Meneja wa msanii Harmonize na Record Label ya Konde Gang, Choppa ameshare music video ya TMK wanaume na kuweka maneno kuwa hakuna wa kuishusha ama kuizuia label ya Konde Gang zaidi ya Mungu na kifo.

Kupitia Insta story ya Meneja wa msanii Harmonize na Record Label ya Konde Gang, Choppa ameshare music video ya TMK wanaume na kuweka maneno kuwa hakuna wa kuishusha ama kuizuia label ya Konde Gang zaidi ya Mungu na kifo. Kauli ya Choppa inakuja baada ya hivi karibuni Label hiyo kuwa kwenye Sakata la kufikishwa BASATA na waliokuwa wasanii wa label hiyo, Cheed na Killy, lakini Kama haitoshi, Zimezuka skendo za msanii Harmonize kukimbia na vibunda vya promoter tokea Nigeria mwenye makazi yake nchini Canada.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live