Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chioma na Davido wapata watoto mapacha

Chioma Davidooo Chioma na Davido wapata watoto mapacha

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Afropop kutoka nchini Nigeria, Davido na mkewe Chioma wamepata watoto pacha jana Jumatatu majira ya saa tatu usiku.

Taarifa za staa huyo kupata watoto pacha ikiwa ni mwaka mmoja baada ya kumpoteza mtoto wao, Ifeanyi, zimethibitishwa na mchungaji Gospel Agochukwu asubuhi ya leo.

Mchungaji huyo amepost ‘Screenshot’ ya mawasiliano ya meseji kati yake na Davido kupitia WhatsApp, ambapo staa huyo alikuwa akimpa taarifa hizo, ikiwa ni utabiri aliomfanyia mwaka mmoja uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live