Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chino amjengea nyumba mama wa rafiki yake aliyefariki ajalini

Chinooo 258453 Chino amjengea nyumba mama wa rafiki yake aliyefariki ajalini

Wed, 20 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hapa ni Gongolamboto kivule mahali ambapo msanii Chino amezijenga Nyumba mbili na Nyumba Ya kwanza amemjengea Mama wa Rafiki Nabil aliyefariki Kwenye ajali ya Gari kipindi akiwa na kina Chino njiani kwenda Tanga, na Nyumba ya pili anamjengea Mama yake mzazi.

Chino ambaye hana Muda mrefu kwenye muziki kama msanii amesema anatumia kile anachokipata kusambaza upendo Kwa wengine kwani hata yeye amekua Maisha ya kawaida sana na kufanikiwa kwake imekuwa bahati.

Chino amesema ana ndugu zake wengi sana wanaomtegemea wasio pungua 10 kuanzia wadogo zake na hata watoto wa Ndugu yake mkubwa, amekuwa akisomesha na hivi sasa amejiingiza Kwenye Ujenzi wa Nyumba mbili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live