Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chino Kidd: Mimi ndiye nilimpeleka Harmonize Studio

Chino Kidd (2).jpeg Chino Kidd: Mimi ndiye nilimpeleka Harmonize Studio

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia Bongofm mwanamuziki na Dansa Chino Kidd amefunguka kuwa yeye ndiye alimfanyia urahisi Harmonize kurekodi wimbo wake wa kwanza ndani ya studio za Mazuu Record. . Chino anasema kuwa Harmonize alikuwa anaishia nje studio lakini yeye alimpambania mpaka akapata nafasi ya kurekodi nyimbo mbili "Kidonda Changu" na "Aiyola" ambazo ndizo nyimbo zilizomtambulisha kimuziki.

View this post on Instagram

A post shared by Infotainment Chamber (@rickmediatz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live