Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chino Kid anunua ndinga ya milioni 200

Chino Kiddd Chino Kid anunua ndinga ya milioni 200

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki na Dansa maarufu nchini Tanzania Chino Kid ameshare picha na videos za Gari mpya aina ya Land Cruiser VX maarufu kama V8 kwenye ukurasa wake wake wa ya Instagram na kuandika ‘BLESSING WHITE HOUSE WHITE CAR’.

Staa wa muziki na Dansa maarufu nchini Tanzania Chino Kid ameshare picha na videos za Gari mpya aina ya Land Cruiser VX maarufu kama V8 kwenye ukurasa wake wake wa ya Instagram na kuandika ‘BLESSING WHITE HOUSE WHITE CAR’. Mbali na hizo picha, pia kuna video nyingine ya influencer wa mitandaoni Dotto Magari inayomuonyesha akimpongeza Chino kid kwa kununua Gari hiyo mpya ambayo bado haijatwa thamani yake mpaka sasa, ingawa kwa makadirio Gari hiyo inatajwa hakuuzwa kuanzia Milioni 200 za Kitanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live