Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chino Kid amashukuru Mungu baada ya kunusurika kifo

Chino Kidd (2).jpeg Chino Kid amashukuru Mungu baada ya kunusurika kifo

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Msanii Chino Kid amethibitisha kuwa kwa sasa yupo fiti baada ya kupata ajali yeye na Madancer wake, ajali ambayo iliua mmoja.

Chino ameandika hivi:

"Nawashukuru sana ndugu zangu wote kwa maombi yenu nimesha jichekii kila kitu nipo salama kabisaa lakini nichukuwe nafasii hii kumshukuru boss wangu najuwa mengi nateleza lakini unanisamehe na kuwa upande wangu muda wote.

“Mungu akubariki sana kwa moyo wako wa kipekee ulikubali kuvunja mkataba wako na kupata hasara kubwa kwa ajili ya kuja Tanga kuona na kutusaidia, nakushukuru sana boss wangu na nakupenda sana my boss @marioo_tz yote kwa yote tujifunze kushukuru na asante Mungu kwa kunipa nafasi nyingine ya kuishi maana kwa hii chuma ninavyoiangalia nilikuwa sitoboi hata kwa dawa.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live