Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chidi Benz: Nimefanya kazi kubwa na Roma malipo kiduchu.

Roma: Freshi Tu Chid Kanifunika Kwenye Ngoma Yangu! Chidi Benz na Roma Mtakoliki.

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Star wa muziki kutoka Tanzania, Chidi Benz amgeuzia kibao Roma Mtakoliki kuhusiana na kulipwa vijisenti kupitia kwenye ngoma ya harufu waliyofanya pamoja.

Kwa maelezo ya Chidi Benz amesema kuwa kupitia kwenye ngoma ya harufu yeye ndo amefanya kazi kubwa kwani yeye ndo alitafuta ilo jina la harufu na verse kaandika yeye pia aliyefanya ngoma itembee ndo yeye.

"Lakini cha kushangaza malipo yake ni madogo yaani amemlipa vijisenti laki laki ambavyo avimsaidiii chochote," amesema Chidi Benz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live