Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chid Benz anahitaji nafasi nyingine – Gabuu (+Video)

Sat, 3 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka kundi la P-Unit, Gabuu amebainisha kuwa msanii wa Hip Hop Bongo, Chid Benz anahitaji nafasi nyingine ya kusaidiwa kuachana na matumizi ya dawa za kulevya. Pia Gabuu amebaisha kuwa nchinin kwao hakuna tatizo kubwa la utumiaji wa dawa hizo.

Chanzo: bongo5.com