Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chid Benz: Wasanii hawanipendi

Khadija Kopa Aguswa Na Tatizo La Chid Benz, Aomba Wasanii Wamsaidie Chid Benz: Wasanii hawanipendi

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Chid Benz amesema wasanii wengi aliyowahi kuwasaidia kipindi anauwezo sasahivi hawamsaidii kwa chochote hata kumpigia simu kumjulia hali hawafanyi hivyo

Akizungumza na Manara Tv Chid Benz amesema watu hawana huruma hata kidogo na maisha yake anayoishi sasa ila wanachokifanya ni kuigiza tu mitandaoni kwamba wana huruma naye

"Kuna wasanii wengi nimewasaidia sana hawanipigii hata simu kunijulia hali mfano Mwasiti na Alikiba mimi nimewasaidia ila vipi mbona hawana msaada na mimi," amesema Chid Benz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live