Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chid Benz: Mimi situmii dawa za kulevya

Chid BEENZ Chid Benz: Mimi situmii dawa za kulevya

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: Manara TV

Mwanamuziki Chid Benz amefunguka kuhusu suala lake la matumizi ya dawa za kulevya ambapo siku za hivi karibuni limezua gumzo na watu tofauti kuonesha nia ya kutaka kumsaidia.

Chid benz akizungumza na Manara TV amesema watu wengi wanaongea vitu wasivyokuwa na uhakika navyo kuhusu yeye tena wengine inawezekana ni walevi kuliko yeye.

"Unamkuta mtu anasema Chid benz kapotea wakati yeye huo yeye kashika chupa la bia 'kashika sigara anashindwa kuelewa madawa ya kulevya ni nini" amesema Chid Benz.

Chanzo: Manara TV