Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cheni ya mamilioni yarudisha penzi la Diamond na Zuchu

Zuchu Mondi Mdak Diamond amnunulia Zuchu cheni na mamilioni

Thu, 23 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa Lebo ya WCB, Dimond Platnumz amemnunulia msanii wake Zuchu cheni ya thamani huko London, ukurasa rasmi wa WCB umethibitisha.

Wawili hao ambao waliweka wazi kuwa sio wapenzi kama walivyokuwa mwanzo na kwamba kwa sasa ni Kaka na Dada, Diamond Platnumz ameendelea kumuonyesha upendo bibie huyo.

Hii inakuwa mara ya pili kwa bosi huyo wa WCB kumnunulia msanii wake cheni yenye thamani kwani Desemba mwaka jana alimnunulia cheni yenye thamani ya Sh milioni 94 za Kitanzania, cheni ambayo ilikuwa na jina lake (Zuchu).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live