Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

68888 660x400 Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

Fri, 15 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za mkali kutokea Bongo Flevani, Chege ambae time hii amefunguka tetesi zilizodaiwa kuwa yeye na Diamond walipishana kisa Mbosso kusainiwa WCB.

‘Nilisikia Mbosso kusainiwa WCB wala sikupewa taarifa yoyote kutoka kwa kiongozi wangu wala kutoka kwa kiongozi wa Yamoto Band, sio suala baya,  Je huku umeondoka vizuri ama umeondoka vibaya mbona kimya sina taarifa’– Chege

‘Sikumlaumu Diamond alivyoongea Radioni kwasababu sikuulizwa na kama ningeulizwa basi ningefanunua kauli yangu niliyoitoa na wala sikuwa na sababu kumtakia mabaya Mbosso kwani ndie msanii pekee ambae nilikuwa nampenda Yamoto Band’- Chege

‘Mbosso nimekutana nae Dodoma na nimeongea nae Mengi sana na nikamwambia kauli yangu ilieleweka vibaya na nimemtakia kila la heri WCB kwenye kazi zake na wala sina chuki yoyote’- Chege

CHEGE KAWATUNGIA WIMBO DIAMOND, HARMONIZE NA ALIKIBA WAPATANE KAFUNGUKA HAYA

Chanzo: millardayo.com