Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chege atangaza kuvuta jiko mwaka huu

Chege Kuoa Chege atangaza kuvuta jiko mwaka huu

Thu, 12 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Warembo washindwe wenyewe! Ndivyo unavyoweza kusema, mbishi kutoka Kiumeni, Chege ametangaza kwamba yupo tayari kuuta jiko mwaka huu.

Chege ambaye kwa muda mrefu amekuwa singo, ametupia mchapo huo kwenye Insta Story yake ambapo ameandika hivi:

“Akinipenda kwa dhati na kunisikiliza naoa mwaka huu inshallah.”

Ni nani unafikiri ataolewa na mwamba? Ni suala la kusubiri na kuona.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live