Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Channing amvisha Pete Zoe

Zoe Channing amvisha Pete Zoe

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waigizaji kutoka nchini Marekani Zoë Kravitz na Channing Tatum wameripotiwa kuchumbiana weekend iliopita baada ya kukaa miaka miaka miwili kwenye mahusiano.

Kwa mujibu wa TMZ News inaeleza kuwa Zoe alivishwa pete na Channing kama ishara ya kudumisha uchumba wao na kuweka matarajio ya kufunga ndoa.

Wawili hao walianzisha mahusiano ya kimapenzi Mwaka 2021 wakiwa Location wakiandaa ‘filamu’ ya PyIsland.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live