Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cat Janice afariki Dunia

Cat Janice Dssc Cat Janice.

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Marekani Catherine Janice Ipsan, maarufu kama Cat Janice (31) amefariki siku ya jana kwa ugonjwa wa kansa.

Taarifa za kifo cha Cat Janice zimetolewa kwenye ukurasa wake wa Instagram ambao kwa sasa unasimamiwa na Kaka yake.

Mwezi wa kwanza mwaka huu Cat Janice alijizolea umaarufu duniani baada ya kutoa wimbo wake "Dance You Outta My Head.", Wimbo huu ulifanya vizuri TikTok pia kwenye chart za Billboard.

Cat Janice ameacha mume "Kyle Higginbotham" na mtoto mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka 7 "Loren".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live