Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cassper Nyovest atangaza collabo na Swizz Beatz wa Marekani

2541 Cassper 660x400

Sat, 3 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Staa wa muziki kutokea Afrika Kusini Cassper Nyovest amepost picha akiwa na msanii Swizz Beats kutokea Marekani katika page yake ya instagram na kuwajulisha mashabiki kuwa kuna kitu kipya kinakuja.



Kupitia instagram account ya Swizz Beats ameandika caption inayosema “mambo safi”



“Unapojaribu kupanga wimbo na Swizz Beatz lakini bado hajui . Hahahaha hii picha inachekesha” -Cassper Nyovest

Mashabiki wa Cassper Nyovest hivyo watarajie kupata ngoma mpya kutoka kwa Cassper Nyovest na Swizz Beatz hivi karibuni.

VIDEO: Bila Navykenzo Rosa Ree anapata ugumu kwenye Muziki?



 

Chanzo: millardayo.com