Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cassie amalizana na Diddy siku moja baada ya kumfungulia kesi ya ubakaji

Diddy And Cassie Relationship Timeline Min Cassie amalizana na Diddy siku moja baada ya kumfungulia kesi ya ubakaji

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Muziki wa Rap, Sean "Diddy" Combs na Msanii wa R&B, Casandra "Cassie" Ventura wamemalizana Kisheria siku moja baada ya #Cassie kumshtaki #Diddy kwa tuhuma za ubakaji na unyanyasaji wa Kingono

Taarifa ya pamoja ya Wawili hao imesema walifikia makubaliano ya kusuluhisha suala hilo kwa amani siku ya Ijumaa, Novemba 17, 2023 bila kufichua maelezo zaidi

Kesi iliyofunguliwa Novemba 16, 2023, Cassie alidai Diddy alimpiga, kumbaka, kumuingiza katika Matumizi ya Vileo na #DawaZaKulevya na kumhusisha na biashara ya ngono kwa zaidi ya Miaka 10 walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live