Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Carnival ya Kanye West yatikisa Billboard hot 100

Kanye West Post.jpeg Carnival ya Kanye West yatikisa Billboard hot 100

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ngoma ya 'Carnival' ya rapa Kanye West aliyomshirikisha Ty Dolla Sign, Rich the Kid na Playboy Carti, imekamata nafasi ya kwanza kwenye chati ya Muziki duniani (Billboard hot 100).

Kanye aliachia wimbo huo February mwaka huu kutoka kwenye Album yake ya Vulture.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live