Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Caren Simba afunguka kutoka kimapenzi na Harmonize

Careen Simba Harmo Caren Simba afunguka kutoka kimapenzi na Harmonize

Mon, 14 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii maarufu wa Bongo Movie, Caren Simba amefunguka kuhusu skendo inayompa tuhuma kuwa amewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Kmy.

Msanii maarufu wa Bongo Movie, Caren Simba amefunguka kuhusu skendo inayompa tuhuma kuwa amewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Kmy. "Ukweli nyumbani kwangu na ofisi ya Konde Gang, tunatenganishwa na ukuta tu, kwa hiyo Harmonize ni jirani yangu kuhusu kuwa na mahusiano naye hapana siwezi na sijawahi kufikilia mambo hayo juu yake atabaki kuwa jirani tu," amefunguka Caren Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live