Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Careen afungukia huba lake na Pacome

Pacome Careen Careen afungukia huba lake na Pacome

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Caren amewajibu walimwengu kuhusiana na wanaozusha kuwa kwamba yeye na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua wapo kwenye mahusiano.

Kwa maelezo ya Caren amesema kuwa; "Kuhusiana na wao kuwa kwenye mahusiano siyo kweli kwasababu yeye na Pacome ni Marafiki kwani kunamda pacome huwa anakuja kwangu tena mara kwa mara.

"Pia, siyo hivyo hata baba watoto naye anamfahamu kwasababu huwa namshirikisha kila kitu kuhusiana na kinachoendelea tena hata baba watoto ni shabiki yake hivyo nashangaa sijuwi kwanini watu wanazusha labda kwasababu nimefanikiwa mana sielewi hata," amesema Caren.

Ikumbukwe kwamba, awali Caren aliwahi kupost picha ya Pacome akiwa pamoja na watoto wake wakisherehekea siku ya kuzaliwa hivyo baada ya Star huyo kuchapicha picha ilizua maswali kwa baadhi ya mashabiki uku wengine wakizusha wenda wawili hao watakuwa kwenye mahusiano.

Unakipi cha kumshauri Caren? Dondosha comment.!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: