Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cardi B na Offset waonekana pamoja licha ya kuachana!

Cardi B Na Offset Waonekana Pamoja Licha Ya Kuachana! Cardi B na Offset waonekana pamoja licha ya kuachana!

Fri, 16 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya wawili hao kutangaza kuachana Novemba 2023, lakini bado wameendelea kukutana katika baadhi ya matukio muhimu ikiwemo sikukuu ya Krismass, na sasa ‘rapa’ Cardi B na aliyekuwa mumewe Offset wameonekana tena wakiwa pamoja katika siku ya Wapendanao.

Licha ya wawili hao kutangaza kuachana Novemba 2023, lakini bado wameendelea kukutana katika baadhi ya matukio muhimu ikiwemo sikukuu ya Krismass, na sasa ‘rapa’ Cardi B na aliyekuwa mumewe Offset wameonekana tena wakiwa pamoja katika siku ya Wapendanao. Imeelezwa kuwa wawili hao walionekana wakitoka katika mgahawa ulioko jijini Miami, nchini #Marekani. Lakini mpaka kufikia sasa #Cardi na #Offset hawajatoa taarifa yoyote ya kama wamerudiana tena. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live