Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cardi B avunja rekodi ya Ed Sheeran huko TikTok

Cardi B Eds Cardi B avunja rekodi ya Ed Sheeran huko TikTok

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia tamasha la In The Mix concert ya TikTok (live concert) rapa Cardi B amepata watazamaji milioni 9.2 na kuvunja rekodi ya Ed Sheeran aliyewahi kutazamwa live na watu milioni 5.5.

Kupitia tamasha la In The Mix concert ya TikTok (live concert) rapa Cardi B amepata watazamaji milioni 9.2 na kuvunja rekodi ya Ed Sheeran aliyewahi kutazamwa live na watu milioni 5.5. In the Mix ni tamasha la kwanza la muziki la live la kimataifa la TikTok, lililofanyika Sloan Park huko Mesa, Arizona, Jumapili, Desemba 10, tamasha hilo likiwa na wasanii kama Peso Pluma, Cardi B, Niall Horan, Anitta, Charlie Puth na ReneƩ.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live