Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cardi B anarudi kwa mara nyingine

Cardi B Come Again Cardi B

Fri, 13 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huenda ni ujio mpya wa Cardi B baada ya miaka minne, ameonekana akiwa studio kwenye picha ambayo imesambaa kwenye mitandao leo. Mbali na picha hiyo, Cardi B ameifuata (follow) akaunti mpya iitwayo (Albumcb2) na kuashiria huwenda ni ujio wa Album ya pili.

Huenda ni ujio mpya wa Cardi B baada ya miaka minne, ameonekana akiwa studio kwenye picha ambayo imesambaa kwenye mitandao leo. Mbali na picha hiyo, Cardi B ameifuata (follow) akaunti mpya iitwayo (Albumcb2) na kuashiria huwenda ni ujio wa Album ya pili. Cardi B alitubariki na Album yake ya kwanza ‘Invasion of Privacy’ mwaka 2018 na hadi leo amekuwa akitutia Kiu kikali kwa kuachia kazi kwa manati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live