Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cardi B akanusha kurudiana na Offset

Cardi B X Offsett Cardi B akanusha kurudiana na Offset

Fri, 29 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na ‘Rapa’ Cardi B kurudiana na aliyekuwa mumewe Offset, hatimaye Cardi amekanusha uvumi huo.

Cardi ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa X (twitter) akieleza kuwa hawezi kurudiana tena na Offset licha ya kusherehekea pamoja katika sikukuu ya 'Krismasi'.

Cardi B na Offset walionekana tena pamoja katika sikukuu hiyp wakiwa na watoto wao, hii ni baada ya kuachana mwezi mmoja uliopita kufuatiwa na usaliti uliokuwa ukiendelea katika ndoa yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live