Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cardi B afunguka sababu za ukimya wake

Cardi B Songs Cardi B afunguka sababu za ukimya wake

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ Cardi B ameweka wazi kuwa kwa zaidi ya mwaka mmoja amekuwa akiogopa kuishi maisha yake halisi aliyoyazoea kutokana na kukosolewa na mashabiki.

Akiwa katika mahojiano ya ‘Comolex 360’ amefunguka kuwa sababu kubwa iliyomfanya kukaa kimya bila kutoa ngoma yoyote ni kutokana na mashabiki kumshambulia vikali kupitia mitandao ya kijami, jambo ambalo lilikuwa likimvuruga.

#Cardi ameuanza mwaka vizuri kwa kutoa ngoma yake iitwayo ‘Enough (Miami)’ wimbo ambao unazaidi ya watazamaji zaidi ya milioni 5 kupitia mtandao wa #YouTube ukiwa na siku tano tuu tangu kuachiwa kwake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live