Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cardi B, SZA, Gucci Mane na King Krule wakava jarida la New York Times

4507 28763388 2052126998405468 4451429552979181568 N TZW

Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwezi wa tatu utakuwa mzuri hasa kwa mashabiki wa muziki wa Hip Hop pale watakapoziona sura za watu wanowakubali katika jarida la New York Times la mwezi huu.



Jarida hilo lililopabwa na sura tofauti tofauti kama Cardi B, SZA, Gucci Mane na King Krule litawapa nafasi wakali hao kuziachia ngoma 25 wanazipenda na kuelezea muziki unapoelekea.

’’McGinley’s dreamy portraits of these musicians, along with a sketchy, scribbly, partly hand-drawn design, set a loose, creative tone for the issue.It’s the feeling of being present at the creation, a witness to the birth of new aristic energies, which is what this annual issue is all about,” ameeleza mhariri mkuu wa Jarida hilo Jake Silverstein

 
Chanzo: bongo5.com