Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cardi B: Mahusiano ni kusaidiana

Card B Arejeshewa Mil. 831 Baada Ya Kushinda Kesi.jpeg Cardi B: Mahusiano ni kusaidiana

Sat, 16 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa; Cardi B ameonekana kuwa mwanamke wa tofauti zaidi ya watu wanavyomfikiria baada ya kueleza kuwa yeye hayupo upande wa wanawake ambao wanawategemea wapenzi na wenzi wao kwenye kughalamikia kila kitu pindi wawapo kwenye mahusiano.

‘Rapa; Cardi B ameonekana kuwa mwanamke wa tofauti zaidi ya watu wanavyomfikiria baada ya kueleza kuwa yeye hayupo upande wa wanawake ambao wanawategemea wapenzi na wenzi wao kwenye kughalamikia kila kitu pindi wawapo kwenye mahusiano. Cardi kupitia video yake inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa yeye haamini kuwa mwanaume ndio anajukumu la kuhudumia kila kitu kinyume chake yeye anaamini kwenye usawa 50/50 yaani mwanamke naye aweze kuchangia chochote katika mahitaji akiwa kwenye mahusiano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live