Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cardi B Kumtambulisha Mtoto Wake wa Kiume

Cardi B Cardi B Kumtambulisha Mtoto Wake wa Kiume

Wed, 19 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Cardi B yupo mbioni kuanika jina la mtoto wake wa kiume aliyempata mnamo September, 2021. Cardi B anampango wa kuchora tattoo ya jina la mtoto wake na hii itakuwa ni utambulisho wa jina la mtoto wake kwa mara ya kwanza ambalo mpaka sasa halija fahamika.

Rapa Cardi B yupo mbioni kuanika jina la mtoto wake wa kiume aliyempata mnamo September, 2021. Cardi B anampango wa kuchora tattoo ya jina la mtoto wake na hii itakuwa ni utambulisho wa jina la mtoto wake kwa mara ya kwanza ambalo mpaka sasa halija fahamika. Kupitia akaunti yake ya #Tweeter Cardi B ameandika “Nakaribia kuchora tattoo ya jina la mtoto wangu wa kiume. Nimedhamilia kufanya hivyo”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live