Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Card B apata mtoto wa tatu

Cardi B Offset 121123 4 B0635d7a6daf47d0ae2d39086c13b793 Card B apata mtoto wa tatu

Wed, 18 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cardi B ametangaza kuzaliwa kwa mtoto wa tatu na mpenzi wake Offset, kupitia Instagram, amepakia chapisho la kukonga nyoyo ambalo limemtambulisha mtoto huyo ulimwenguni "kitu cha kupendeza zaidi," aliyezaliwa mnamo Septemba 7, 2024.

Huyo ni mtoto wa tatu wa rapa huyo na Offset anaungana na watoto wao wawili wakubwa, Kulture na Wave, kupanua zaidi familia yao.

Kinachowashangaza wengi kuhusu wawili hao ni pale wakiwa katika majukumu yao ya kutoa burudani waondoka na kijiji, hadi kupeleke maswali kuwa vipi kuhusu imani au familia zao kumbe ni suala la kutenga muda wa kusaka tonge vibe kama lote lakini warudipo makwao ni wazazi watulivu kabisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live