Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Calisah na Wema Sepetu tena, "hawezi kunikataa

PICHA Calisah na Wema Sepetu tena, "hawezi kunikataa

Wed, 20 May 2020 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Calisah amesema "Wema ndiyo mtu ninaye wasiliana naye sana, haipiti siku mbili kama hatujaongea na hapa kuna meseji zake sijui nikuonyeshe ila nitaonekana nam-snitch kwa sababu vitaleta miyayusho na siwezi kuonyesha kila kitu ila hatuna matatizo yoyote".

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Calisah amesema "Wema ndiyo mtu ninaye wasiliana naye sana, haipiti siku mbili kama hatujaongea na hapa kuna meseji zake sijui nikuonyeshe ila nitaonekana nam-snitch kwa sababu vitaleta miyayusho na siwezi kuonyesha kila kitu ila hatuna matatizo yoyote". Aidha ameendelea kusema "Tupo na ukaribu ila sio wa mapenzi, sasa hivi ana wanaume zake anaendelea nao na mimi nina wanawake wangu, japo tunaonana na tunaongea hata nikitaka kwenda kwake na najua hawezi kunikataa".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live